News
Shule hiyo inamilikiwa na Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa ambapo Mwaihabi amehudumu kwa takribani miaka miwili, huku akisimamia ...
Umaarufu, mvuto kwa wananchi na uzoefu wa muda mrefu ni miongoni mwa sifa zitakazowabeba baadhi ya watia nia huku uamuzi wa ...
Hatua ya Yemba kuchukua fomu hiyo inafikisha idadi wanachama wawili wa chama hicho kuania nafasi hiyo akitanguliwa na Kiwale ...
Wakati mwaka mpya wa fedha ukianza leo, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imemaliza mwaka wa fedha 2024/2025 kwa mafanikio, ...
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CCM wa Kata ya Mbalawala, Athanas Sajilo, waliofariki ni Oscar Richard (19) na Andrea Chibago (19 ...
Ni nyakati ambazo, isingekuwa rahisi kuona pilika pilika za watu, zaidi ya misafara na ngurumo za magari na honi. Vijana hao, ...
Amesema makusanyo hayo yameongezeka kwa asilimia 19.91, sawa na Sh143.122 bilioni, ikilinganishwa na makusanyo halisi ya ...
Uchaguzi wa mavazi ya kumkinga na baridi, afya na kinga ni mambo yaliyotajwa kuzingatiwa na mzazi anapomwandaa mtoto kwenda ...
Kwa mujibu wa wataalamu, jukwaa hilo limeundwa baada ya kubaini kuwa wagonjwa wengi hulazwa katika vituo vya afya ya akili ...
Taasisi ya The Climate Hub imesema ushiriki wa wanawake na vijana katika usimamizi wa mazingira unakabiliwa na changamoto ...
Cheti hicho kimetolewa na The Edge Certified Foundation ya Uswisi, taasisi inayoongoza duniani kwa mbinu bora za tathmini na ...
Dar es Salaam. Askari saba wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara walishtakiwa kwa kumuua makusudi, Mussa Hamis, mfanyabiashara wa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results