Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) imeiagiza Rwanda kufunga shughuli zake zote za kidiplomasia na kibalozi nchini humo ...
MIKOPO kwa njia ya kidijitali inayoanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) imeelezwa kuwa itawasaidia wananchi kupata fedha kwa wakati na kuendeleza biashara zao ili ...
Idara ya Uhamiaji nchini imethibitisha kuwapa uraia wa Tanzania kwa Tajnisi wachezaji watatu wa kigeni wa timu ya Singida ...
SHULE Sekondari Feza Boys imejivunia uwekezaji iliyofanya katika kumuandaa mwanafunzi kuwa bora baada ya kufaulisha wanafunzi ...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Dk. Said Mohamed. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo ya watahiniwa 67 waliohusika na ...
Kamishna wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye amewataka watumishi wa mamlaka hiyo kuongeza ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuimarisha ustawi na ...
Kwa ugonjwa wa trakoma (vikope), Dk. Lilian Ryatura alisema halmashauri zenye maambukizi makubwa zimepungua kutoka 69 hadi 9 ...