Kamanda Muliro amesema hali hiyo ni ya kawaida ya masuala ya kiusalama; haihusiana na maandamano ya Chadema. Majukumu ya vyama ni kuhakikisha wananchi wanapata elimu sahihi na ya kina kuhusu umuhimu ...
Tabora. Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu wasiofahamika wamevamia na kuvunja sanamu la Mwalimu Nyerere lililopo mtaa wa Matola, Kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora, ambapo wameondoka na shingo ya ...
Tukio jingine ambalo watuhumiwa wamefikishwa mahakamani ni lililotokea usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024 kuhusu mauaji katika Mtaa wa Muungano A, Kata ya Mkonze ambalo Mwamvita Mwakibasi (33) na mtoto ...