TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imeshiriki katika Mkutano wa Programu ya u’GOOD, inayofadhiliwa na Baraza la ...
Fadlu ambaye alidumu Simba kwa siku 444, amewaachia kibarua cha kufanya viongozi wa timu hiyo ambao kwa sasa wanahaha ...
DAR –ES-SALAAM : VYAMA vikuu vya siasa nchini vimeweka upatikanaji wa Katiba Mpya kama kipaumbele katika ilani zao kuelekea ...
Mapema jana, Kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ aliwasili jijini Dar es Salaam, tayari kwa kupokea jukumu jipya la kuifundisha Simba kwa muda na siku hiyo hiyo alitarajia kuanza kazi rasmi ya kusimamia ...
Sakata la kutoweka kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, limeingia katika hatua mpya. Hii ni baada ...
ELIMU inayoibua vichocheo kama teknolojia ni injini ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Hakuna taifa lililopiga hatua bila ...
Zaidi ya asasi 10 za kiraia nchini Tanzania zimetangaza kuwa hazitaacha mchakato wa kudai katiba mpya, licha ya rais wa John Magufuli kutangaza wazi kuwa suala la katiba mpya sio kipaumbele katika ...
Ndege mpya ambayo imekuwa ya karibuni zaidi kununuliwa na serikali ya Tanzania kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege la Air Tanzania imewasili Dar es Salaam. Ndege hiyo, ambayo imeundwa na kampuni ...
Rais wa wa Tanzania Samia Suluhu Hassan tangu alipokula kiapo Machi 19 mwaka huu, ilimchukua muda wa saa 41 tangu atoke kuwaongoza wananchi wake kumzika mtangulizi wake rais John Magufuli. Machi 28 ...
Kituo cha kudhibiti magonjwa barani Afrika CDC kinaitaka serikali ya Tanzania kutoa takwimu mpya za mwenendo wa maambukizi ya Corona nchini humo, ikiwa ni wiki mbili tangu nchi hiyo ilipotoa hali ya ...
Mfumo wa awali ulikuwa unauwezo wa kutazama asilimia 25 ya anga ya Tanzania huku kwa kiasi kikubwa ikitegemea rada za nchi jirani. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa rada hiyo katika uwanja wa ndege wa ...