Ungana nasi hapa kusikiliza Taarifa ya habari ya asubuhi ya leo ambapo habari kubwa miongoni mwa nyingine ni Mgombea wa urais nchini Marekani Donald Trump alengwa na kile ambacho shirika FBI limesema ...
Karibu usikilize taarifa ya habari asubuhi ya leo hapa DW Kiswahili. Miongoni mwa utakayoyasikia ni Rais Volodymyr Zelensky wa ukraine auomba Umoja wa Ulaya kutoiacha pembeni Marekani wanapoisaidia ...
Faini kwa watoa huduma wa NDIS wasio waaaminifu zita ongezeka kutoka $400,000 hadi zaidi ya $15 milioni, chini ya kanuni mpya zilizo zinduliwa na Bill Shorten jana Jumatatu 28 Oktoba 2024. Waziri wa ...
Wa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney. Takriban idadi yawa Australia 3,800 wamesajiliwa na serikali ...