Wachambuzi wa siasa wameonesha kushangazwa kwa kiasi fulani na ukosoaji wa Rais Samia Suluhu Hassan juu ya hisia za umma kuhusiana na tukio la kutekwa na kisha kuuawa kwa kiongozi mwandamizi wa chama ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameainisha mipango ya serikali kwa mwaka mpya wa 2024, ikiwemo agizo la kuanzisha safari za SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma, na kuanza kazi kwa bwawa la umeme ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna mtu aliye juu ya sheria, akisisitiza kuwa vyama vya siasa vinapaswa kuendesha shughuli zao kwa kuzingatia sheria na ...
To personalise content, tailor ads and provide best user experience, we use cookies. By using our site, you agree to use our cookies. Privacy policy Accept & Continue ...
Kiongozi maarufu wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko ametoa wito kwa umma jana usiku kujitokeza kwa wingi kabla ya hotuba ambayo Rais Macky Sall anatarajiwa kutangaza leo kama atawania muhula wa ...