Kwa mara ya kwanza katika historia yake ya ushiriki wa AFCON, Tanzania (Taifa Stars imevuka hatua ya makundi na kuingia 16 bora. Hilo peke yake tayari ni habari kubwa. Lakini kwa macho ya uchambuzi wa ...
Je wazo la kujumuika na watu katika sherehe au kuzungumza mbele yao linakufanya ujiulize nitasema nini? Kama jibu lako ni ndio, basi haupo peke yako. Akindele Michael alikuwa mtoto mwenye haya sana.