MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, amewataka Watanzania kuendelea kudumisha uzalendo na kuitunza tunu ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua, Said Habibu Tunda kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) akichukuwa nafasi ya Dk Athumani Kihamia ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Aidha, ...