Hii ni tovuti ya idhaa ya Kiswahili ya BBC ambayo hukuletea habari na makala kutoka Afrika na kote duniani kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti hii pia kusikiliza vipindi vya redio.
Kwenye taarifa ya habari asubuhi ya leo utasikia Marais wa Ufaransa na Urusi wamezungumza kwa simu kujadili masuala ya Ukraine na Iran +++ Israel yatanua kampeni ya kijeshi kwenye Ukanda wa Gaza kabla ...
Israel yakosolewa vikali katika Mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mpango wake wa kutanua operesheni za kijeshi huko Gaza. Rais wa Ukraine apata uungwaji mkono wa Umoja wa Ulaya ...
Mtandao wa siri unaofadhiliwa na Urusi unajaribu kuvuruga uchaguzi ujao wa kidemokrasia katika eneo la Ulaya mashariki, BBC imegundua. Kwa kutumia ripota wa siri, tuligundua mtandao huo uliahidi ...